Thursday, July 13, 2017

Bwana asifiwe!!!!!!
Namshukuru Mungu kwa matendo yake makubwa juu yangu, niliona giza nene na njia yenye miba mikali mno mbele yangu pale nilipohitaji kumtafuta mtu sahihi wa kuwa mama wa watoto wangu(mke)
Abarikiwe Bwana Yesu alietoa damu yake kuwa fidia kwa mahitaji ya wengi.Mungu ni mwema mambo yameenda vizuri sana toka awali ya uchumba mpaka ndoa.
Mungu akubariki pia kwa maombi yako uliyotuma Mbinguni kwa ajili ya wenye mahitaji kama mimi, asante sana mpendwa.
Kwa sasa nipo ndani ya ndoa na mtu sahihi (mke wangu kipenzi Beatrice Masabo)
Mungu awabariki sana
By;Evangelist Daniel Muyenga